Sie sind hier: Home » Kutoka kwa takwimu – Zahlen / Fakten
Kutoka kwa takwimu – Zahlen / Fakten
Nembo ya manispaa ya Furth
Nembo imegawanywa katika sehemu tatu zenye rangi za nyekundu, nyeusi, dhahabu na fedha. Gurudumu linawakilisha mtakatifu Katharina, ambaye ni matakatifu mlinzi wa kijiji cha Arth. Kanisa la huko pia limetengwa maalum kwa ajili ya Mtakatifu Katharina. Upanga unawakilisha Mtakatifu Michael – matakatifu mlinzi wa wilaya ya Schatzhofen. Sio tu wakaazi wanaume pekee wa eneo hili waliorithi jina hili la kwanza bali pia kanisa la parokia. Dubu ndiye mnyama wa nembo ya familia ya Kaergl ambayo iliishi Furth hadi 1615. Kutokea kwao ndio ngome ya ulinzi na kiwanda cha pombe vilitengenezwa.
Kutoka kwa takwimu | |
---|---|
SLP | 84095 |
Lage | Mita 427.242 juu ya usawa wa bahari |
Upanuzi wa Eneo | Kilomita 20,94 za mraba |
Idadi ya wakaazi 31.12.2022 | 3.659 |
Baraza la Mji | Furth, Am Rathaus 6, Tel: 08704/9119-0 |
Umri na Idadi ya watu | |
---|---|
Umri wa miaka | 40 Jahre |
Walio na hadi miaka 18 | 21,3 % |
Walio na miaka 18 hadi 64 | 63,1 % |
Walio na miaka 65 na zaidi | 15,6 % |
Ongezeko la idadi ya watu | kutoka 1999 mpaka 2009: 14,1% |
Vifo mwaka kwa kila wakaazi 1.000 | 9,1 (2009) |
Makaridio: Idadi ya watu katika wilaya ya Landshut inatarajiwa kuongezeka kwa 4,9 % ifikapo 2028. Uwiano wa vijana kwa wazee utabadilika kutoka idadi ya sasa ya 36,8% hadi 27,6% na kufikia 31,8% hadi 41,9%.
Muundo wa mapato | |
---|---|
ato la jumla kwa mfanyakazi na mlipa kodi ni wastani wa euro 32,868 (Kwa jimbo la Bavaria ni euro 31,891) | |
Kwa kila wakaazi 1,000, watu 378 huajiriwa kulingana na michango ya huduma za ustawi wa jamiii (mahali wanapoishi) (Kwa wastani Bavaria: watu 355) | |
Kwa kila watu 1,000, watu 65 huajiriwa kulingana na michango ya huduma za ustawi wa jamii (mahali pa kazi) (Kwa wastani jimbo la Bavaria: watu 361). |